HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wasaga nafaka waonya bei ya unga wa mahindi na ngano kupanda

Muungano wa wasagaji nafaka, CMA umetangaza kuwa bei ya unga wa mahindi na ngano itaongezeka kutokana na gharama ya usagaji iliyoongezeka kutokana na kuongezwa kwa ushuru wa bidhaa za petroli huku jaji wa mahakama kuu Chacha Mwita akikataa kukubali ombi la mwanaharakati Okiya Omtata na muungano wa wafanyikazi nchini, COTU la kusitishwa kwa ushuru huo wa asilimia 16.

Show More

Related Articles