HabariMilele FmSwahili

Raila aeleza haja ya kutafutwa njia mbadala za kusaka fedha pasi kutoza ushuru mafuta

Kinara wa ODM Raila Odinga ameelezea haja ya kutafutwa njia mbadala za kusaka fedha kufadili maendeleo pasi kutoza ushuru mafuta nchini.Raila aliyekutana na Peter Kenneth ambaye amewahi kuwa waziri wamekubaliana kwamba ushuru wa asilimia 16 kwa mafuta utaathiri sekta mbali mbali ikiwemo mfumuko wa bei za vyakula hali ambayo itawaathiri wakenya wa kipato cha chini.

Show More

Related Articles