HabariPilipili FmPilipili FM News

Ongezeko La Bei Ya Mafuta Lazidi Kuwa Kero Kwa Wananchi.

Wenye magari ya uchukuzi katika maeneo mengi ya nchi wanaendelea kulalama kufuatia bei za juu za mafuta, ikiwa ni siku tatu sasa tangu ushuru wa asilimia16 kuanza kutekelezwa kwa bidhaa za mafuta nchini.

Kufikia sasa lita moja ya mafuta ya petrol inauzwa kwa shilingi 124 hapa mombasa, ikilinganishwa na bei ya awali ambayo ilikuwa shilingi 105.

Mafuta ya diseli lita moja kwa sasa inauzwa kwa shilingi 110 tofauti na  awali ambapo iliuzwa kwa shilingi 95,  huku  mafuta ya taa ikiuzwa shilingi 93 kwa lita, tofauti na bei ya awali ya  shilingi 70.

 

Show More

Related Articles