HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu Rais achangisha Sh29M Kajiado kwa mpango mpya wa NHIF

Naibu Rais William Ruto amechangisha shilingi milioni ishirini na tisa kwenye mnada wa mbuzi katika kaunti ya Kajiado hususan kuimarisha afya ya wakaazi kwa kuwawezesha kupata bima ya afya ya NHIF.
Ruto alitoa mchango wa shilingi milioni 10 kununua mbuzi elfu 1,400 mchango wake binafsi ukiwa shilingi milioni tano na shilingi milioni 5 kwa niaba ya Rais Uhuru Kenyatta ambaye yuko nchini China.

Show More

Related Articles