HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kifo Korokoroni: Uchunguzi wabaini Mwai alifariki kufuatia tukio la kunyongwa, Parklands

Uchunguzi wa maiti ya David Mwai, mshukiwa anayetuhumiwa kujaribu kumuua waziri wa zamani wa kaunti ya Garissa  Idriss Muktar na ambaye alifariki katika kituo cha polisi cha Parklands umebaini alifariki kwa kunyongwa.

Katika ripoti hiyo inayozua maswali mengi mpasuaji wa maiti aliyefanya uchunguzi huo amesema japo jamaa huyo alijitia kitanzi  haimaanishi kuwa hakuuawa.

Show More

Related Articles