HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Gharama ya juu ya mafuta yapelekea nauli kupanda kote nchini 

Makali ya ongezeko la bei ya mafuta yamezidi kuwaumiza wakenya huku nauli kutoka Nairobi hadi maeneo ya magharibi mwa nchi ikiongezeka hadi kwa shilingi mia tano.
Wasafiri kote nchini wamelalama kuhusu serikali ambayo wanasema kuwa haiwajali tena huku wakisikitika kuwa pato lao la kila siku halijaongezeka.

Show More

Related Articles