HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanaharakati Omtata awasilisha kesi kubatilisha kodi iliyotangazwa

Msukosuko wa kiuchumi unaowakodolea macho wakenya kuhusiana na ongezeko la bei ya bidhaa za petroli huenda ukasalia kwa majuma kadhaa huku bunge likitarajiwa kuandaa kikao cha dharura al-maarufu ” kamukunji” hapo kesho kujaribu kutafuta suluhu.
Anders Ihachi anaarifu zaidi kuhusiana na suala hili ambalo limeibuka kutokana na mtafaruku wa kisheria huku mwanaharakati Okiya Omtata akifika mahakamani leo kushinikiza kutekelezwa kwa kodi mpya ya asilimia 16.

Show More

Related Articles