HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ndugu 3 wamuua na kumnyofoa mume nyeti zake, Bungoma

Polisi katika kitongoji cha Muyekhe eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma wanawazuilia ndugu watatu kwa madai ya kumuuwa rafiki yao na kumnyofoa sehemu zake za siri.
Inasemekana kuwa mwendazake alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yao ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili, jambo ambalo liliwakera mno.

Show More

Related Articles