HabariMilele FmSwahili

COTU yashtaki serikali kufuatia ongezeko la bei ya mafuta

Muungano wa COTU umeishtaki serikali  kufuatia ongezeko la bei ya mafuta.Katibu  wa COTU Francis Atwoli anasema  ongezeko hilo limechangia  kupanda kwa gharama ya maisha kwa mkenya wa kawaida.Bei hiyo imepanda baada ya kuanza kutekelezwa kwa ongezeko la aslimia 16 kwenye ushuru  unaotozwa bidhaa hizo.

Show More

Related Articles