HabariMilele FmSwahili

Omtatah awasilisha kesi mahakamani kupinga ongezeko la ushuru kwa bidhaa za petroli

Mwanaharakati Okiya Omtatah amewasilisha kesi mahakamani kupinga ongezeko la ushuru wa asilimia 16 kwa bidhaa za pteroli.Omtatah ameiambia Milele fm vigezo anavyotumia kwenye kesi yake ni kwamba sheria hiyo mpya inakwenda kinyume na katiba.Kadhalika anasema iwapo ongezeko hilo litasalia basi idadi kubwa ya wakenya wataathirika na gharama ya maisha.

Show More

Related Articles