HabariMilele FmSwahili

Serikali yatakiwa kurejesha shuleni elimu kuhusu ngono

Serikali imetakiwa kurejesha shuleni elimu kuhusu ngono ili kuwahamasisha wanafunzi dhidi ya kujihusisha ngono za mapema .Kauli hiyo imetolewa na mshirikishi wa  shirika la idadi ya watu na maendeleo  NCPB kanda ya Northrift Moses  Ouma ambaye amelalamikia  ongezeko la  visa vya mimba za mapema miongoni ma wanafunzi. Amewataka wazazi pia kujumukika katika kutoa ushauri nasaha kwa wanao kuhusu athari za ngono za kiholela.

Show More

Related Articles