HabariMilele FmSwahili

Wabunge wamtaka rais kusitisha utekelezwaji ya ushuru wa bidhaa za petroli

Wabunge sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta licha ya kutokuwepo nchini kutoa amri kwa mujibu wa mamlaka yake kusitisha utekelezwaji wa asilimia 16 ya ushuru wa bidhaa za petroli. Wabunge Chris Wamalwa, Milly Odhiambo na Irungu Khangata wanasema leo pekee wakenya watagharamika fedha zaidi bila kusahau gharama ya maisha wakati huu wanasema zipo njia mbadala za kukusanya fedha za kusaidia miradi nchini na wala sio kupitia kuongeza ushuru kwa bidhaa muhimu kama vile petroli kwa upande wake Odhiambo, anasema ipo haja ya bajeti kukaguliwa kupunguza fedha zimetenegewa baadhi ya miradi isiyokuwa na uzito wakati huu

Show More

Related Articles