HabariMilele FmSwahili

TSC yakataa madai ya kukubaliana kupandisha walimu elfu 30 vyeo

Tume ya kuwaajiri walimu TSC imepuzilia mbali madai kwamba wamekubalina na walimu kwamba walimu elfu 30 watapandishwa vyeo hivi karibuni. Taarifa kwa vyombo vya habari, TSC imeyapiuza madai hayo yaliyotolewa na kaitibu wa walimu nchini Wilson Sossion, TSC imemtaka Sossion kukoma kusambaza taarifa za uongo  kuhusu maafikiano wanayotimiza baina yao. TSC inasema propaganda hizi ndizo zitaleta mkwaruzano na kutatiza sekta ya masomo

Show More

Related Articles