HabariK24 TvSwahiliVideos

Mwanamke afumaniwa akiiba kitoto kichanga Pumwani

Pumwani

Mwanamke mmoja kwa jina Mercy Atieno anazuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Shauri Moyo baada ya kukamatwa hapo Jumamosi katika hospitali ya Pumwani alipokuwa akijaribu kuiba mtoto mwenye umri wa siku tatu pekee.

Inasemekana kuwa mshukiwa alimnyemelea mtoto huyo pale mamake alipokuwa ameondoka ili kushughulikia gharama ya matibabu na kumficha katika mkoba wa kipakatalishi.

 

Show More

Related Articles