HabariK24 TvSwahiliVideos

Watu 7 wafariki, wengi wajeruhiwa na kuachwa bila makao

Kibra

Watu 7 wamefariki, wengine kadhaa kujeruhiwa na zaidi ya nyumba 43 kuteketea katika mkasa wa moto eneo la silanga mtaani kibra jijini Nairobi.

Mkasa huo ulijiri usiku wa kuamukia Jumamosi huku baadhi ya watu wakiachwa bila makao na wengine hawajulikani waliko.

 

Show More

Related Articles