HabariSwahili

Utata wa mshukiwa aliyepatikana maiti kwenye seli ya polisi

Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi ipoa pamoja na kitengo cha majasusi wanaopeleleza mauaji wameanza uchunguzi wa kisa cha mshukiwa kujitia kitanzi katika kituo cha polisi cha Parklands jijini Nairobi.
Mshukiwa huyo alidaiwa kujiua katika seli akiwa amezuiliwa na makachero wakati wa kuchunguzwa kwa kisa cha waziri wa fedha kaunti ya Garissa kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya.

Show More

Related Articles