HabariSwahili

Watu 4 waangamia, wengine 7 wajeruhiwa huko Sobea, Nakuru

Siku chache tu baada ya watu kumi na moja  kuangamia  kwenye ajali mbaya ya barabarani Nakuru, watu wanne wameangamia hi kwenye ajali nyengine iliyotokea katika eneo la Sobea kaunti ya Nakuru.
Aidha manusura saba wa ajali hiyo wamelazwa katika hospitali ya Nakuru level 5 wakiendelea kupokea matibabu.

Show More

Related Articles