People Daily

Maonesho Ya Kilimo Ya Mombasa Yaandikisha Idadi Ndogo Ya Watu Mwaka Huu.

Maonyesho ya kilimo ya Mombasa mwaka huu yameandikisha idadi chache ya watu ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Baadhi ya wakazi tuliowahoji wanasema kuwa kudorora kwa uchumi nchini kumepelekea kukosekana kwa fedha na imewapasa kuendelea na kazi zao ili waweze kujikimu kimahitaji.

Aidha wengine wamesema kuwa kizazi hiki kinafuata starehe badala ya mafunzo yanayopeanwa mahali pale.

Show More

Related Articles