HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KNH yakanusha ilimtelekeza mgonjwa aliyefariki kwa kukosa ICU

Serikali ya kaunti ya Nairobi imesema kuwa hospitali za rufaa za kaunti  hazina uwezo wa kutoa huduma kwa wagonjwa  walio katika hali mahututi kwani hospitali nne za rufaa bado hazina  wadi za wagonjwa mahututi.
Haya yanajiri baada ya hospitali kuu ya Kenyatta kusema kuwa  vifo vya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura vinachangiwa na ukosefu wa vitanda vya kuwahudumia wagonjwa hao.

Show More

Related Articles