HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Siku ya waliopotea kiholela yaadhimishwa ulimwenguni

Zaidi ya watu 100 wametoweka baada ya kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi katika eneo la Pwani kwa muda wa miaka mitano iliyopita.
Shirika la kijamii la haki afrika limeyasema hayo mjini Mombasa wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya watu waliotoweka baada ya kudaiwa kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi.
Jijini Nairobi jamii za waliopotea zilikusanyika na kuwakumbuka wapendwa wao huku wakielezea matumaini huenda siku moja wataibuka.

Show More

Related Articles