HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Sakata ya sukari: Spika Justin Muturi asema haiwezi kujadiliwa tena bungeni

Sasa ni bayana kwamba ripoti ya sukari tata iliyopigwa teke na wabunge haitajadiliwa tena bungeni licha ya madai ya ulaji rushwa kabla ya ripoti yenyewe kujadiliwa.
Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi ameamuru wabunge wawili waliodai wabunge walipokea hongo kutohudhuria vikao vya kamati ya natija na mamlaka bungeni kama wanachama na badala yake kuhudhuria kama mashahidi.

Show More

Related Articles