HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Purity Mutuku huwasaidia watoto wanaofika kusoma maktabani

Mara nyingi maktaba huwa ni maeneo yanayotumika na wanafunzi haswa kudurusu ili kujitayarisha kwa mitihani.

Hata hivyo, nyakati zinavyosonga, idadi ya wanafunzi wanaoingia maktabani haswa maktaba za kitaifa inazidi kupungua kiasi kwamba baadhi ya vitabu kwenye maktaba vinakusanya vumbi kwa kutotumika.

Katika kaunti ya Nakuru, Bi Purity Mutuku ambaye ni mkutubi katika maktaba ya kitaifa mjini Nakuru ameamua kutafuta njia mbadala ya kuwavutia wanafunzi maktabani.

Show More

Related Articles