HabariMilele FmSwahili

Serikali kuwalipa wakulima wa mahindi kuanzia tarehe 7 mwezi ujao

Serikali itawalipa wakulima wa mahindi kuanzia tarehe saba mwezi ujao.Kamati maalum ya seneti inayochunguza utata wa mahindi nchini, inasema mikakati yote imekamilika kwa ajili ya kutolewa malipo hayo.Mwenyekiti, seneta wa Uasin Gishu Profesa Margret Kamar hata hivyo anawahimiza wakulima ambao hawajapitia ukaguzi kufanya hivyo ili kufanikisha malipo yao.

Show More

Related Articles