HabariMilele FmSwahili

Chebukati akosa kufika mbele ya kamati ya bunge alivyoagizwa

Mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati amekosa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu sheria kama alivyoagizwa. Akielezea kuchukuzwa kwa hatua hiyo mwenyekiti wa tume hiyo William Cheptumo anasema alitarajiwa mkao huo ungesaidia IEBC kufahamu jinsi ya kuhudumu wakiwa wachache na mchakato wa kujaza  nafasi ya makamishna 4 waliojuzulu kwa mujibu wa katiba. Marekebisho ya baadhi ya sheria za uchaguzi ni jambo Cheptumo anasema walitaka liangaziwe mapema kuzuia changamoto wakati wa uchaguzi

Show More

Related Articles