HabariMilele FmSwahili

Bobi Wine atarajiwa kurejea mahakamani leo

Mbunge na mwanamuziki Bobi Wine leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, Kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa mahakama kuu kwani mahakama ya Gulu haina mamlaka ya kisheria kuendesha kesi za uhaini. Baadhi ya washitakiwa wanaendelea kupata matibabu hospitalini na huenda wakashindwa kufika mahakamani.

Show More

Related Articles