HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Serikali yabomoa majengo mitaa ya Karen na Embakasi

Baadhi ya wakaazi wa maeneo ya Karen na Embakasi wamepigwa na bumbuazi baada ya vyumba vyao kubomolewa leo na serikali ya kaunti.
Hayo yamejiri huku mbunge wa zamani wa Limuru George Nyanja akisakwa na polisi kwa kufyatua risasi kuzuia kubomolewa kwa nyumba yake mtaani Karen.

Show More

Related Articles