HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Jamii ya Ilchamus inazingatia mila kwa kushiriki matambiko mbalimbali

Nyakati zinapopita na vizazi vinavyokuja na kwenda ndivyo tamaduni nazo zinavyosambaratika na kukosa maana.

lakini katika jamii ya ilchamus, kutoka  baringo ni mwiko kuacha  mila.

kwa mfano, mwanahabari wetu alihudhuria mojawapo ya harusi iliyofanyika kwa mtindo wa kitamaduni na kuona kwamba bwana harusi ni lazima awanyweshe maziwa ya kuganda na pombe kondoo watatu waliokomaa kabla ya kuipelekea familia ya bi  harusi kisha kutembea kwa miguu hadi kwa familia ya bi harusi bila kuangalia nyuma ndipo apate ruhusa na baraka za ndoa.

Show More

Related Articles