HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

IEBC yasema huenda maeneo bunge 27 yakafutiliwa mbali

Maeneo bunge 27 kati ya 290 huenda yakafutiliwa mbali katika shughuli ya uratibu wa mipaka ya maeneo bunge baada ya hesabu ya idadi ya watu almaarufu kama sensa itakayofanyika Agosti mwaka 2019.
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati amesema kuwa maeneo bunge hayo yalinusuriwa kwenye uratibu wa mipaka wa mwaka 2012 lakini sasa sheria hairuhusu hilo na iwapo hayataafikia idadi hitajika baada ya sensa basi yatatupiliwa mbali.

Show More

Related Articles