HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watoto 3 ni kati ya abiria 11 waliofariki eneo la Kimende

Watu 11 wamefariki baada ya lori kugongana ana kwa ana na matatu iliyokuwa inaeleka Busia kutoka Nairobi katika eneo la Kimende kwenye barabara kuu ya Nairobi -Naivasha.
Watu wengine sita ambao wako katika hali mahututi wanaendelea kupata matibabu kwenye hospitali  kuu ya AIC Kijabe.

Show More

Related Articles