HabariMilele FmSwahili

Mahakama yasitisha kesi dhidi ya Philomena Mwilu

Mahakama kuu imeagiza kusitishwa kesi inayomkabili naibu jaji mkuu Philomena Mwilu.Jaji Chacha Mwita ameagiza kesi hiyo kusitishwa hadi tarehe 9 mwezi oktoba atakapotoa uamuzi wake.Uamuzi huo unafuatia ombi la Mwilu kutaka kesi hiyo kusitishwa kwa kigezo mahakama ya kupambana na ufisadi haina mamlaka ya kusikiza kesi dhidi ya ufisadi inayomkbali pamoja na mshtakiwa mwenza wakili Stanley Kiima.

Show More

Related Articles