HabariMilele FmSwahili

Huenda uchaguzi mkuu wa 2022 ukaandaliwa juma ya tatu mwezi Disemba.

Huenda uchaguzi mkuu ujao mwaka wa 2022 ukaandaliwa juma ya tatu ya mwezi Disemba. Hii ni iwapo wabunge watapasisha kwa kauli moja mswada wa marekebisho ya sheria ulioidhinishwa na kamati ya bunge kuhusu sheria. Mbunge wa Mukuruweini Anthony Githiaka ni mwanachama wa kamati hiyo.

Show More

Related Articles