HabariMilele FmSwahili

Philomena Mwilu kufikishwa mahakamani kesho

Naibu jaji mkuu Philomena Mwilu sasa atafikishwa mahakamani kesho.Mwilu atashtakiwa kwa makosa kadhaa ikiwemo kususia kulipa ushuru, kutumia mmalaka yake vibaya sawa na kushiriki uharibu wa kiuchumi katika kesi ya kutoa uamuzi wa mapendeleo katika kesi inayohusisha benki ya Imeprial iliyo chini ya urasimu.Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Hajj anasema anaushahidi wa kutosha kumshtaki Mwilu

Show More

Related Articles