HabariMilele FmSwahili

Gavana wa Garissa Ali Korane akamatwa

Gavana wa Garissa Ali Korane anahojiwana maafisa wa usalama kuhusiana na na kisa cha kufyatuliwa risasi aliyekuwa waziri wa fedha kaunti hiyo Idris Aden Mukhtar. Polisi wanadaiwa kumkamata Korane katika makaazi yake bara bara ya Dennis Prit hapa jijini Nairobi.Juma lililopita genge la majambazi watatu lilimfumania Mukhtar na kumpiga risasi kichwani na kutoweka bila kumwibia chochote.  Chanzo cha uvamizi huo hakijabainika.

Show More

Related Articles