HabariPilipili FmPilipili FM News

Samboja Ahojiwa Na Kamati Ya Uhasibu Katika Bunge La Seneti.

Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Granton Samboja amefika mbele ya kamati ya seneti kuhusu uhasibu PAC kuhojiwa kuhusiana na masuala ya ukaguzi katika kaunti yake.

Akijibu maswali ya wanachama wa kamati hiyo kuhusu masuala mbali mbali ikwemo ukusanyaji wa mapato Samboja amesema licha ya kuwasilisha malalamishi kwa waziri wa utalii bado kaunti yake haipati lolote kutoka kwa mapato yanayokusanywa kaunti hiyo.

Show More

Related Articles