HabariPilipili FmPilipili FM News

Idadi Kubwa Ya Sigara Zilizopo Hapa Nchini Ni Ghushi Serikali Ya Sema.

zaidi ya nusu ya sigara zinazouzwa katika masoko ya humu nchini ni ghushi na huenda baadhi ya sigara hizo ni hatari sana kwa afya ya watumizi.

Kulingana na mkuu wa timu ya pamoja ya kupambana na bidhaa ghushi nchini Wanyama Musiambo, huenda wakenya wanavuta sigara ambazo zina sumu.

Haya yanajiri huku wizara ya afya ikieleza wasiwasi wake kuhusiana na uwepo wa bidhaa ghushi nchini na hata uwepo wa mipira ya kondumu ambayo hayajafikia viwango sawa.

 

Show More

Related Articles