HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Magari ya uchukuzi yatishia kuongeza nauli maradufu

Abiria wanaotumia magari ya uchukuzi wa umma nchini watalazimika kulipa nauli ya juu ikilinganishwa na nauli wanayolipa sasa kuanzia Septemba mosi kufuatia hatua ya wizara ya fedha kutekeleza ushuru wa asilimia 16 utakaotozwa bidhaa za petroli.

Show More

Related Articles