HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Familia ya Njenga Karume yabuni kamati kutatua mzozo wa urithi

Washikadau katika urithi wa aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri marehemu Njenga Karume wamebuni kamati maalum ya upatanisho ili kubaini jinsi mali ya karume yenye thamani ya shilingi biliioni 17.5  itasimamiwa.

Kulingana na msemaji wa kamati hiyo Dkt Stephen Karanu tayari kamati hiyo imeafikiana kuuza ekari mia moja sabini na saba za  ardhi ya marehemu Karume ili kulipa deni la shilingi bilioni 2.5   ikiwa ni pamoja na ushuru wa shirika la utozaji ushuru nchini KRA.

Show More

Related Articles