HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Nusu ya idadi ya sigara zinazouzwa nchini hazifai kwa matumizi

Endapo wewe ni mraibu wa sigara una kila sababu ya kuwa na hofu kufuatia onyo la naibu mkuu wa utumishi wa umma wanyama musiambo aambaye amesema nusu ya sigara zote zinazouzwa humu nchini ni ghushi.

Zaidi ya hayo dawa za kupunguza makali ya ukimwi mipira ya ngono na dawa zingine zinazouzwa reja reja madukani pia si salama kwa matumizi  humu nchini.

Show More

Related Articles