HabariPilipili FmPilipili FM News

Njia Ya Kukopa Pesa Kutoka Kwa Hazina Ya Vijana Yarahisishwa Zaidi.

 

Vijana kote nchini sasa wataweza kupokea mikopo  kwa njia rahisi kutoka kwa hazina ya vijana ya Youth Enterprise Development fund.

Haya yamesemwa na mwenyekiti wa hazina hiyo Ronnie Osumba anayesema maombi hayo mapya ya Y Mobile yatawezesha vijana kupata mikopo ya kati ya shilingi elfu tano na laki moja kupitia njia ya simu.

Osumba ameyasema haya katika  warsha ya vijana huko Voi kaunti ya Taita Taveta na kuongeza kuwa hazina hiyo pia inalenga kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu mbinu mpya za kibiashara.

Show More

Related Articles