HabariK24 TvSwahiliVideos

Jamaa aliyeachwa  kwa madai ya kukosa fedha afunga pingu za maisha

Miezi mitatu iliopita jamaa kwa jina William Mwaura kutoka mtaa wa Roysambu hapa jijini Nairobi aliachwa na mpenziwe, japo kumlipia mahgari na kutangaza harusi kanisani.

Mwaura,aliachwa na mpenziwe, baada ya kukosa fedha za kugharamia harusi yao.

Lakini miezi mitatu baadaye, amefunga ndoa ya kufana, baada ya Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja, kuamua kugaharamia harusi yake, iwapo kuna mchumba  angejitokeza, na kukubali kuwa mkewe.

 

Show More

Related Articles