HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Makamishna 2 wa IEBC waliojiuzulu warejea ofisini 

Makamishna wawili wa IEBC waliojiuzulu mwezi Aprili sasa wamerejea afisi baada ya miezi minne.

Kamishna Connie Maina aliyepia naibu mwenyekiti wa tume na Margaret Mwachanya wamekuwa afisini zao nchana kutwa lakini bado haijabainika ni kwa nini au ni nani aliyewaagiza kurejea kazini.

Kamishna Paul Kurgat ambaye hakurejea afisini hii leo anatarajiwa kuingia afisini siku ya jumatatu.

Show More

Related Articles