HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

 Naibu Rais Ruto kwa mara nyingine ashtumu utafiti wa IPSOS

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma ametakiwa kuanzisha uchunguzi dhidi ya kampuni za utafiti kubaini wafadhili wake.
Baadhi ya wabunge wa Jubilee wanasema huenda kampuni hizi zinatumiwa kisiasa kuwapaka tope baadhi ya viongozi.
Haya yanajiri wakati Naibu Rais William Ruto ameendelea kuikosoa kwa ukali ripoti ya Ipsos iliyomworodhesha kama mfisadi zaidi.

Show More

Related Articles