HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wachuuzi wazua tandabelua Githurai wakishtumu kufurushwa 

Wakaazi wa Githurai 45 hii leo waliandamana huku wakilalamikia ubomoaji wa vibanda vyao baada ya kupewa ilani na shirika linalosimamia barabara kuu KENHA.

Wafanyibiashara hao sasa wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwajengea soko huku wakidai kuwa ni jambo waliloahidiwa wakati wa kampeni za Jubilee.

Show More

Related Articles