HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kurejea kwa OMIERI mwezi ujao kwazua hamu kuu, Kisumu 

Wenyeji wa eneo bunge la Nyakach na kaunti ya Kisumu kwa jumla wanasubiri kwa hamu kurudi kwa nyoka mkubwa mwenye urefu wa zaidi ya futi kumi na saba almaarufu omieri mwezi ujao.

Kuwepo joka hilo ambalo wakaazi wa eneo hilo wanaamini kuwa ni mke aliyeolewa katika kaunti ya Homa bay kisha akarudi tena linasemekana kuashiria baraka tele.

Inakumbukwa kwamba mnamo mwaka wa elfu mbili na mbili , omieri wa pili alirejea tena katika kijiji cha Wasare huyu akiamika kuwa ni mtoto wa yule wa kwanza.

Show More

Related Articles