HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Operesheni ya kuwakamata raia wa kigeni bila kibali kuanza

Serikali inatarajiwa kuanza operesheni ya kuwasaka, kuwakamata na kuwafurusha nchini raia wa kigeni wanaohudumu bila stakabadhi zinazohitajika.

Waziri wa usalama wa ndani Dakta Fred Matiang’i amesema kwamba tayari watu 60 wamefurushwa pindi tu ilipogunduliwa kwamba walikuwa na stakabdhi ghushi za ndoa na kwamba baadhi yao walikuwa walanguzi wa mihadarati.

Show More

Related Articles