HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KNUT chasisitiza mgomo wa walimu kuanzia Septemba 1 bado upo

Katibu mkuu wa chama cha walimu KNUT Wilson Sossion amesisitiza kuwa mgomo wa walimu bado upo kuanzia septemba mosi jinsi ilivyoratibiwa awali huku shule zikianza kufunguliwa wiki ijayo.

Haya yanajiri huku chama cha Kuppet kikiongozwa na katibu mkuu Akelo Misori kikijitenga na KNUT na kusema kuwa hawaungi mkono mgomo huo ambao wanautaja kama haramu.

Show More

Related Articles