HabariPilipili FmPilipili FM News

Vita Dhidi Ya Ulaguzi Wa Mihadharati Iko Imara; Idara Ya Usalama Yasisitiza.

Idara ya usalama kaunti ya mombasa inasema vita dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya ni imara.

Katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo hiki kamanda wa polisi kaunti ya mombasa Johnstone Ipara anasema kufikia sasa  wamefanikiwa kuwatia mbaroni washukiwa 40, na kufikishwa kotini kufunguliwa mashtaka kwa mujibu wa sheria.

Kuhusu mandalizi ya maonyesho ya kilimo ya mombasa katika uwanja wa mkomani , Ipara amewahakikishia wananchi usalama wa kutosha akisema tayari maafisa wa polisi wamekita kambi eneo hilo.

Show More

Related Articles