HabariPilipili FmPilipili FM News

Mwanamke Avua Nguo Na Kulala Juu Ya Kaburi Katika Eneo La Kiobani, Kilifi.

Kumeshuhudiwa kioja katika makaburi ya umma eneo la Kibaoni mjini Kilifi, baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa makamo kujilaza akiwa uchi katika kaburi moja.

Mwanamke huyo ambaye hajulikani alivutia umati wa watu pale alipoanza kuvua  nguo moja baada ya nyingine huku akijilaza na kuinuka.

Kulingana na walioshughudia kisa hicho mwanamke huyo alidai kuwa hapo ndipo anapoishi jambo ambalo limewashangaza wapita njia.

 

Show More

Related Articles