HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanawake waliobobea katika nyanja tofauti watuzwa na Rais

Mashujaa wa kike waliohusika pakubwa katika ukuaji wa taifa hili katika nyanja tofauti hii leo wametuzwa na Rais Uhuru Kenyatta katika hafla iliyoandaliwa ikulu ya Nairobi na ambayo kuanzia sasa itakuwa ikifanyika kila mwaka.
Naibu wa Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ambao pia walihudhuria hafla hiyo waliwapa pongezi wanawake wote nchini kwa juhudi zao katika ujenzi wa taifa.

Show More

Related Articles