HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 9 wakamatwa kwa wizi wa lori la kaunti la kubebea maji, Narok

Majasusi katika kaunti ya Narok wamewatia nguvuni washukiwa tisa wa wizi wa lori la kusafirisha maji linalomilikiwa na serikali ya kaunti ya Narok.
Miongoni mwa tisa hao ni maafisa wawili wa usalama, mmoja wa kutoka kikosi cha GSU na mwingine afisa wa polisi kutoka Elwak Mandera.

Show More

Related Articles